Asubuhi atembea kwa ..

Asubuhi atembea

Asubuhi atembea kwa miguu minne na adhuhuri kwa miwili na jioni kwa mitatu

彼は、朝は四本足で歩き、昼間は二本足で、夜になると三本足で歩く

答を見る

2012年12月17日 | カテゴリー : 動物 | 投稿者 : nyamburra

Gogo la kwetu …

Gogo la kwetu

Gogo la kwetu limelala nyasini

うちの丸太は草むらで眠っている

答を見る

2012年12月12日 | カテゴリー : 動物 | 投稿者 : nyamburra

Watoto wangu wote …

Watoto wangu wote

Watoto wangu wote nimewavika kofia nyekundu

私は、私の子ども全員に、赤い帽子をかぶらせた

答を見る

2012年11月29日 | カテゴリー : 動物 | 投稿者 : nyamburra

Natembea na …

natembea na

Natembea na wenzangu lakini tukifika kwenye nyumba mimi hukaa mlangoni.
 
僕は友だちと一緒に歩いていくんだけれど、家に着いたら、僕だけ戸口に残るんだ

答を見る

2012年11月15日 | カテゴリー : 動物 | 投稿者 : nyamburra

Anajua kuchora …

Anajua kuchora

Anajua kuchora lakini hajui anachochora 

 彼は描くことは知っているけれど、彼が描いたものを知らない

答を見る

2012年11月11日 | カテゴリー : 動物 | 投稿者 : nyamburra