Mwanamke mweupe …

Mwanamke mweupe ...

Mwanamke mweupe lakini husimama kwa mgugu mmoja tu

色白の女の人だけれど、いつも片足だけで立っている

答を見る

2012年11月16日 | カテゴリー : 植物 | 投稿者 : nyamburra

Natembea na …

natembea na

Natembea na wenzangu lakini tukifika kwenye nyumba mimi hukaa mlangoni.
 
僕は友だちと一緒に歩いていくんだけれど、家に着いたら、僕だけ戸口に残るんだ

答を見る

2012年11月15日 | カテゴリー : 動物 | 投稿者 : nyamburra

Anajua kuchora …

Anajua kuchora

Anajua kuchora lakini hajui anachochora 

 彼は描くことは知っているけれど、彼が描いたものを知らない

答を見る

2012年11月11日 | カテゴリー : 動物 | 投稿者 : nyamburra