Ninakula vitu vyote … Ninakula vitu vyote vinono lakini sikui wala sinenepi 僕は美味しいものみんな食べちゃうのに、背も伸びなければ太りもしない 答を見る
Nilianika mpunga … Nilianika mpunga wangu juani lakini kulipopambazuka sikuuona. 私は、籾(もみ)を日向に干したんだけれど、夜が明けたら見えなくなってしまった。 答を見る